
Ni mwanamitindo wa kitanzania aliyepata kibarua cha kufanya kazi na wakala maarufu wa mitindo Next nchini Marekani, Flaviana awashika
Alishiriki katika onesho maarufu la mavazi linaloshirikisha wabunifu maarufu duniani la New York Fashion Week.
Katika onesho hilo alionesha nguo za wabunifu maarufu akiwemo Tory Butch ,Suno,Charlotte Ronson,Rachel Roy. Jason Wu ambaye ameshamvisha pia Michelle Obama na Tommy Hilifiger.
Hivi Tommy si ndio nasikia alishasema nguo zake anadesgn kwa ajili ya wazungu tu. sasa Flavy ndo Mtanzania wa kwanza kuzinadi.
No comments:
Post a Comment